Welcome To Kibibi products
KIBIBI PRODUCT. ZANZIBAR tunajishughulisha katika mnyororo wa uongezaji thamani mazaoĀ ya shambani pamoja na baharini. Ā Tunajivunia kutengeneza bidhaa zisizo na kemikali na zenye ladha tofauti na bidhaa za wengine.
USAFIRISHAJI BURE
Kwa oda zaidi ya 40
BIDHAA INAFIKA KWA WAKATI
Bidhaaa itakufikia Mteja ulipo
MALIPO KWA UHAKIKA
Huduma za malipo ni salama.
Delivery Process
STEP 01
Chagua Bidhaa
STEP 02
Utaunganishwa na duka la karibu
STEP 03
Tutumie eneo ulipo
STEP 04
Utaletewa bidhaa eneo ulilopo
BIDHAA TUNAZOZALISHA:
- 1. Kibibi Mango Pickle
- 2. Kibibi Mbirimbi Pickle:
- 3. Kibibi Lime Pickle
- 4. Kibibi Hot Chillie
- 5. Kibibi Mango Sauce
- 6. Kibibi Tamarind chillie sauce
- 7. Kibibi Mixed Fruit Jam
- 8. Kibibi Peanut Butter
- 9. Kibibi Peanuts Eggs
- 10. Kibibi Unga wa Lishe
- 11. Kibibi Seaweed Gel
- 12. Kibibi Seaweed Powder
- 13. Kibibi Seaweed Cotton
- 14. Kibibi Sarah Rosela Tea
KWA NINI UTUCHAGUE SISI:
AFYA NI UHAI
1. Tunajali afya za wateja wetu
FAST DELIVERY
2. Mteja anafikiwa kiuharaka mara tu anapohitaji bidhaa zetu.
OFA KWA WATEJA
3. Wateja wetu wa jumla na rejareja wanaotumia mara kwa mara huduma zetu hupata bei za discount na bei za jumla
UBORA
4.Tunatengeneza bidhaa za ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu.














