July 15, 2025
0 Comments
Bidhaa za Kibibi hutengenezwa kwa kutumia mikono na mashine ndogo, kuanzia kuchagua malighafi, kukatakata, kusaga hadi kufungasha. Njia hii ya kiasili inalinda ubora wa bidhaa na kuhakikisha wateja wanapata ladha na virutubisho vya asili bila kemikali.
